Along Mwai Kibaki Road

Tuesday, March 27, 2012

Watoto, March 2012, New Arrivals.

Gauni Hii aliyovaa mtoto hapo juu inapatikana dukani. Ni nzuri na inapendeza, kama mtoto wa scandinavia ilivyompendeza, hakika na watoto wengine watapendeza.
Gauni ikiwa dukani tayari kwa mtoto.
Size. Zinapatika kuanzia umri miaka 8,9,10,11,12,13 hadi 14.

Gauni, ikiwa dukani tayari kwa mtoto.
Size. Zinapatika kuanzia umri miaka 8,9,10,11,12,13 hadi 14.

Watoto, March 2012, New Arrivals.

Hizi top zina Ung'aro ung'aro unaovutia hivi, hapa kwenye picha ung'aro haujatokea. Top ni simple na nzuri.
Zinapatikana dukani kwa watoto umri miaka 8,9,10,11,12,13,14 na 15.

Watoto! March 2012 New arrivals.

Colourful Top dress za ukweli. Legging White za kuvalia top dress hii zinapatikana dukani.

Size: Zinapatikana kuanzia umri wa miaka 8,9,10,11,12,13, hadi 14.

Watoto, March 2012, New Arrivals.

Colour Blocking shorts, Hapa Hakika mtoto atapendeza na atakuwa kivyake vyake.

Zinapatikana Dukani kwa umri kuanzia miaka 2,3,4,5,6 hadi 7.

Watoto, March 2012, New Arrivals.

Singlet zikiwa dukani tayari kwa watoto kujipatia wapendeze kama shosti wao alivyopendeza hapa chini.
Shosti akiwa kavalia singlet yake , anaonekana anapenda picha huyo!
Size: Singlet hizi zinapatikana dukani kwa watoto wa umri wa miaka 2,3,4,5, 6 & 7. Nguo Hizi zina ubora wa uhakika, ni nguo kutoka nchi za  Scandinavia (Norway, Sweden na Denmark). KUMBUKA! Bei ni za kawaida.

Watoto, March 2012, New Arrivals.

Mwenyewe kapendeza na tshirt yake akiwa huko Scandinavia.

Hapa Tshirt zikiwa dukani tayari kwa watoto wengine , nao wapendeze kama mtoto mwenzao hapo juu.

Tshirts hizi zinapatikana kwa watoto wa umri wa miaka 4 hadi 14.

Bei: Tsh 16,000/-

Monday, March 26, 2012

Saturday, March 24, 2012

Friday, March 23, 2012

Hair & Skin Care Products

Hair & Skin care Products, affordable weaving, 100% human hair from sleek, She, Milk Way etc. Maybelline foundation, Pressed powder superior cover, genuine sleek, budget perfumes, everlasting scent from Germany Deodorants, smart sprays etc.
Sansiro!! imitates designers perfumes, ie Dolce & Gabbana, Tresor, Coco Channel,Davidoff cool water etc, Tshs 2000/= Vinafaa, wakati ile perfume yako ya designer imekwisha unasubiri kununua tena, basi kwa 2000/=, unazuga na ki sansiro.
Ladies Suits, evening wear dresses, office wear blouses, Shoes, from UK & USA.
Children's wear from USA and the Netherlands.

New Arrivals: March 2012 ; High QualityJewelry from Scandinavia

Tshs 35,000/=