Along Mwai Kibaki Road

Saturday, August 25, 2012

New Arrivals! Kufika dukani tumia google map "Vazi + dar es salaam" au tumia ramani kama inavyoonekana kwenye picha hii kushoto.

LATEST FASHION FROM USA & SWEDEN.

New Arrivals, High Quality, Long lasting Clothing and shoes from USA. Affordable Prices.

Model wa Kitanzania, akiwa amependeza na "Maxi dress"  kutoka kwa Mile Gabrielle inayopatikana dukani Vazi.
 LABEL  ya Dress
  • MILE GABRIELLE
  • 96% Polyster
  • 4% Spandex 
  •  
  •  Available at Vazi, Old Bagamoyo Road, Near Shoppers Plaza.  
  • Mawasiliano:  0658 286 555.
   SANDALS, ALL QUALITY MAN MADE MATERIALS, ZINAPATIKANA KWA
US SIZE NO  6, 7, 7.5, 8, 9, 10.
Wahi size yako!   
Zinapatikana Vazi kwa Tsh 28,000/=

Decoration ya Zipu!!   Hawa wabunifu huwa wanatuliza  vichwa vyao wakiwa kazini, inapendeza kwa kweli!

Ki Red Carpet Zaidi.

LABEL ya Dress.
  • Eureka.
  • 100% Polyster.
  • Proudly Made in U.S.A.

 Available at Vazi, Old Bagamoyo Road, near Shoppers Plaza.





* Ina kibajaj chake cha kufunika mabega. Ukipenda unakitupia, usipopenda unakiachilia mbali kama Model alivyopenda.

Ki Fashionista Zaidi!

 LABEL ya Dress.
  • RONNI NICOLE
  • 95% Polyster.
  • 5% Spandex
  • Made in Vietnam. 

Available at Vazi, Old Bagamoyo Road, Near Shoppers Plaza.

Kiofisi Zaidi.

LABEL ya Dress
  • ANNECTED APPAREL
  • 100% Polyster.
  • Made in Srilanka.
Available at Vazi, Old Bagamoyo Road, Near Shoppers Plaza.



Sketi Hii inapatikana Dukani Vazi.

Ina marinda madogo
 LABEL ya Sketi.
  •  MAGIC  
  • 100% Polyster.

New Arrivals! High Quality, long lasting clothing.



 LABEL ya Dress.
  • JBS
  • 100% Polyster.
  • Made in Srilanka.

Inapatikana dukani Vazi, Old Bagamoyo Road, Karibu na Shoppers Plaza.




g



   LABEL ya Dress.
  • THE LIMITED
  • 64% Cotton.
  • 29% Polyster.
  • 7% Spandex. 
Available at Vazi, Old Bagamoyo Road  near shoppers plaza.



LABEL ya Dress.
 EUREKA
  • 100% Polyster
  • Proudly Made in U.S.A.

Monday, August 13, 2012

Sasa Waweza kutumia Google Map Kufika Dukani Vazi.

( i) Bofya:  Maps.google.com
  Itatokea toolbar ya Google
(ii) Ndani ya toolbar ya Google andika maneno haya: Vazi   dar es salaam

(iii) Ndani ya ramani itatokea alama  A  ikionesha Vazi.

iv) Click kwenye neno "More" kwenye  toolbar A inayoonesha Vazi ndani ya ramani, Halafu click tena tena "Zoom Here",  kuona exact location Vazi tulipo.



Tunakushukuru  kwa kutumia muda wako kupitia blog ya Vazi. Karibu Sana.

Sunday, August 12, 2012

SASA waweza kutuma Ujumbe! Salaam kupitia Mugs






Mug kutoka Marekani, Zilizotengenezwa Korea, Malaysia nk. na Zimetengenezwa kwa Standard ya Wamarekani Wenyewe. Zinapatikana Dukani Vazi

Zina Ujumbe Mbalimbali wa Kuwapelekea Watu Uwapendao kama Vile Wazazi nk.

Pia, Kwa Wajasiriamali Wenzetu Watakaopenda Kununua Mug Hizi Na Wao Wakauze, pia inawezekana. Kama Unapenda Kufanya Hivyo Tuwasiliane.



  • Hutahitaji Kuwa na Box La Zawadi Kwani Mug Hizi tayari Zitakuwa Zimepakiwa Kwenye Box lake.
  • Hutahitaji Kununua Kadi Kwani Box Kwa Juu limeandikwa Maneno Haya hapa Chini:-
  • To:.................................................
  • From.............................................





Mavazi ya Watoto Kutoka Kwa Wabunifu Nchini Marekani.Zinapatikana kuanzia mwaka mmoja hadi Miaka 13.

100% Cotton. High Quality Clothing for your Kids.

     Ubora wa Hali ya Juu. Zimetengenezwa kwa pamba asilimia Mia Moja.
      Shati Hili Limetoka Maduka Ya Target yaliyoko Marekani na baadhi ya nchi zilizoendelea, Imetengenezwa kwa  Ubora unaokubalika Duniani.
 Vazi  tunapenda na tunafurahi  kuwapatia Wateja Wetu Vitu vyenye quality ya hali ya juu.

Hizi Ni Accessories za Ukweli Kutoka Marekani

Seti ya Necklace na Earrings yake tutoka kwa Charles Klein.

Clutch Kutoka kwa JESSICA McCLINTON

 Charles Klein tena. Quality Quality Quality

Maybelline Makeup from USA, Sasa Ndani ya Vazi


Pressed Powder ya Maybelline Sasa Inapatikana Vazi.

Unaweza kutumia google Map Kuona Duka Lilipo.

Jinsi ya kutuona tulipo:
1. Bofya: google Map kwenye
2. Andika: Vazi Dar es salaam
3. Bofya alama ya Vazi utakayoiona kwenye ramani na Utakuwa umetuona tulipo
Hii Pure -Stay Powder foundation, ukipaka asubuhi Wang'ara mpaka utakapotaka kuitoa wewe mwenyewe.

 Brusher za Maybelline rangi mbalimbali utapata vazi
Hivi ndivyo Rangi Ya Revlon ikipakwa inavyoonekana.

pia tuna rangi aina mbalimbali za kukauka 60 seconds.

Friday, August 10, 2012

Sunday, August 5, 2012

Mavazi ya Watoto Kutoka Sweden na Marekani


Magauni ya watoto: Yanapatikana Umri kuanzia  miezi 12, hadi miaka 13. Yanapatikana kwa print za aina tofauti tofauti. Hizi ni Baadhi.H&M Sweden. Made in India. 100% Cotton.

Suruali za Kadet zinapatikana kwa watoto wa kuanzia miezi 12 hadi miaka 12. Our Collection from H&M Sweden, Made in Bangladesh, 100% Cotton. Value for your Money!

Magauni ya watoto: Yanapatikana Umri kuanzia  miezi 12, hadi miaka 13. Yanapatikana kwa print za aina tofauti tofauti. Hizi ni Baadhi.H&M Sweden. Made in India. 100% Cotton.

Mashati Haya yenye ubora unaokubalika na watu wanaopenda High Quality , yatakuwa dukani siku ya Jumatano tarehe 08/08/2012. Ni masafti kutoka Marekani. Pia tarehe 08/08/2012 kutakuwa na magauni na  Mengine ya Watoto kutoka Marekani.

Vazi's Collection from Sweden





  • Brought in From USA.

  • Made in USA

  • Brought in from H&M Sweden.
  • Ina Swaga ya Zipu, inayoonekana mgongoni.
  • Made in Romania.
  • Zinapatikana kwa size 40 (Ulaya) au 12 (Uingereza) au ( 10 Marekani) NA Size 44 (Ulaya), 16 (Uingereza) au 14 (Marekani).
Vazi's Collection from Sweden.

Necklace hiyo Black na Pearl Bangle Zinapatikana Vazi.

Affordable, reasonable prices guaranteed!

Ladies Wallet from NINE WEST, Earrings kutoka ALDO

Hereni za Silver hizo, Muundo wa jani, Kutoka Maduka ya ALDO. Affordable Prices!

 Hereni kutoka ALDO
Kama inavyoonekana! Hii ni Genuine kutoka kwa Mtu Mzima NINE WEST.

 Genuine NINE WEST

Magauni ya Watoto kutoka Sweden na Marekani high Quality! kwa bei za Kawaida.

High quality Girls Dresses from Sweden. Yanapatikana kwa umri kuanzia mwaka miezi 12 hadi miaka 13. Tunakuhakikishia kuwa nguo hizi zina ubora wa hali ya juu. 
 Affordable Prices!
Suruali za Boys Umri kuanzia 12M hadi miaka 12. Ni Za Kadet Hizo. Mali Mpya Kutoka Maduka ya Sweden.

Mashati ya Watoto Kutoka Marekani, Karibu Dukani Ushuhudie Texture ya Nguo Hizi. Quality! Quality!
Affordable Prices!

Rangi za Revlon, Lipgloss za Victoria's Secret na Lipstick kutoka Marekani

Lip Gloss za Victoria's Secret sasa zinapatikana dukani Vazi.


 Rangi za kucha za Revlon sasa Zinapatikana Dukani Vazi.
 Rangi za kucha za Revlon Zinapatikana Dukani Vazi.
USA Standard Lipstick, Kutoka USA, Sasa zinapatikana dukani Vazi