Along Mwai Kibaki Road

Wednesday, July 29, 2009

Baadhi ya Nguo zinazopatikana dukani.

Agnes K hapa mie sisemi masuper model wa Tz kaeni chonjo ndo anakuja huyu Hapo juu gauni ya njano iko sale was 79,000 now 55,000



Happy umependeza ile mbaya unaonekana unaipenda sana kazi yako,keep it girl. Pink dress 40,000. Purple dress Tsh 39,000. Gauni ya silk hapo chini iko kwenye sale was 90,000 now 55,000








Wanamitindo wetu ndani ya Vivazi vinavyopatikana Vazi

Wale wapenzi wa Hereni tunawakaribisha pia
Happy mwanamitindo wa Ukweli akila pozi na Vazi








Underground model Agnes K na kivazi toka dukani kwetu
Kumbe Agness K our lil sis anaweza kuwa Model hapa katoka ile mbaya na kivazi cha usiku pamoja na viatu bomba toka Vazi









Vazi Model Happy na kivazi, hii unaweza kuvaa mchana ukaonekana smart ile mbaya na usiku pia inakwenda





Baadhi ya NECKLESS tulizonazo Vazi