Along Mwai Kibaki Road

Monday, August 24, 2009

SALE NGUO ZA WATOTO

Tunapenda Kuwatangazia Wateja Wetu kuwa Sasa Kuna Sale ya nguo za Watoto (0 - 12yrs)Kuanzia Tarehe 24/08/2oo9 hadi tarehe 29/09/2009. Bei ni kati ya Tshs 3000 hadi 18,000. Karibuni sana The Look Ujipatie nguo zenye ubora kwa gharama nafuu. Colours zao (kids) kwa Wiingi.

Sunday, August 23, 2009

Vazi. More Colours

Top Dress, Zipo kila rangi

Hizi gauni ni ile Linen Nziiito, Kwa Wapenzi wa Linen


Kids





Vazi . For those who Love colours


Vazi, shati la Baby boy

On Sale

SALE 50% - Bei ni kuanzia 3000, 8000 hadi 18,000

Vazi, tunapenda kuwatangazia Wateja Wetu kuwa kuanzia Tarehe 24/08/2009 hadi tarehe 29/09/2009 tutakuwa na sale kwa Nguo za Watoto zote. Hii ni shati ya mtoto 100% cotton

Saturday, August 15, 2009