Along Mwai Kibaki Road

Monday, September 17, 2012

H&M Dress



Inapatikana kwa 
UK  Size 12 na  16  

Dress Hii ni kutoka Maduka ya H & M

Price:   96,600/=


Sunday, September 9, 2012

Sunday, September 2, 2012

Genuine Products za Victoria Secret, Maybelline, Sleek creme to powder na pressed powder zinapatikana dukani Vazi..

 Bidhaa za Victoria's  Secret zinazopatikana dukani kwa sasa ni:-



BodySplash ,Perfumes, Lip Gloss & Eye Shadow.
       





   Ulikuwa unaitumia Hii ukiwa majuu? Au ikiisha unasubiri   ukisafiri au unaagiza kwa ndugu na jamaa walioko majuu wakutumie? Siku hizi Bongo tambarare! tembelea Vazi utaipata ileile Genuine MAYBELLINE, kutoka USA.   Kama unavyoona walioitengeneza wamekuandikia "PURE STAY" ni pure stay kweli, ukipaka saa moja asubuhi, hadi jioni utaendelea kupendeza vilevile. HAO NDIO MAYBELLINE NEW YORK.   Ukitaka kung'ara kama Binti Hapa chini, tembelea Vazi, tumia ramani hapo juu kufika dukani au google map Vazi+dar es salaam.