Along Mwai Kibaki Road

Saturday, October 31, 2009

Monday, October 26, 2009

BIDHAA ZINAZOPATIKANA Vazi


Vazi ni wauzaji wa Mavazi ya Watoto na Wanawake. Kwa sasa, tuna vitu vyenye ubora kutoka Ulaya, Marekani na Afrika ya kusini.

Chini ni orodha ya vitu hivyo.
1. Nguo za Watoto, 0-1year, 1-12years.
2. Tops simple na blauzi .
3. Skirt za wasichana na za kina mama, ndefu na fupi hadi magotini.
4. Magauni ya wasichana. Fupi kama ambazo anapenda kuvaa mwanamuziki Rihanna. (fuatilia picha utaziona).
5. Jump suit.
6.Simple Sando.
7.Viatu.
8.Magauni casual wear.
9. Mikanda na Nakshi nakshi, kama vile hereni , bangili nk.Kwa wafuatiliaji wa fashion kuna heleni za tausi.
10. Pochi ndogo za wasichana.
11. Na vitu vingine vingi. Si vyote vinaonekana kwenye blog.

Kuona zaidi , karibu dukani. Mwananyamala komakoma, opposite biashara Complex.

LAY BYE ACCEPTED (TUNAKUBALI KUWEKESHA) kwa kipindi cha wiki 4. Masharti ni ya kawaida utapata maelekezo zaidi utakapohitaji huduma hii.

Asante,


David.
Vazi, Team Member.

Magauni ya Pinki na Blue yanapatikana kwa watoto miezi 6 -18. Gauni maua black na white yanapatikana kuanzia mwaka 1 - 2. Bei kuanzia 13,000 -16,000.



Baby body suit tunazo age 0 - 3, 3 - 6, 6- 12, 12 - 18, na 18 - 24. Rangi zote bei 13,000 - 14,000. Zote pamba 100%.


Vest na underwear yake (suit) Ni Tshs 11,000, Kadet 12,000 na kaptula red 11,000.


Top za watoto wa kike na watoto wa kiume, umri 6 to 1year, miezi 18, hadi miaka 12. Pinki top 12,000, njano tshirt 10,000, red tshirt 11,000.


Nakshinakshi za shingoni, Bangili (zipo silver, golden, za shanga) rangi mbalimbali. Bei kati ya 8000, 20000 hadi 25,000.


Saturday, October 17, 2009