Duka lipo Barabara ya Mwai Kibaki zamani Old Bagamoyo Road, Katikati ya Ofisi za Zantel Makao Makuu, na Shoppers Plaza. Kutokea Morocco Traffic Lights, Kuelekea Mikocheni, duka lipo upande wa kulia, approximately Mita 200 kutoka Ofisi za Zantel Makao Makuu. Mawasiliano: 0658 286 555.
Along Mwai Kibaki Road
Tuesday, July 21, 2009
KANYELA MUMO (ni msemo wa kisukuma) tunazo dukani,sijui wengine mnaziita nini,hizi nguo ni nzuri sana na zinapendeza mno na zinakaa mwilini vizuri.
No comments:
Post a Comment