Duka lipo Barabara ya Mwai Kibaki zamani Old Bagamoyo Road, Katikati ya Ofisi za Zantel Makao Makuu, na Shoppers Plaza. Kutokea Morocco Traffic Lights, Kuelekea Mikocheni, duka lipo upande wa kulia, approximately Mita 200 kutoka Ofisi za Zantel Makao Makuu. Mawasiliano: 0658 286 555.
Along Mwai Kibaki Road
Friday, March 23, 2012
Hair & Skin Care Products
Hair & Skin care Products, affordable weaving, 100% human hair from sleek, She, Milk Way etc. Maybelline foundation, Pressed powder superior cover, genuine sleek, budget perfumes, everlasting scent from Germany Deodorants, smart sprays etc.
Sansiro!! imitates designers perfumes, ie Dolce & Gabbana, Tresor, Coco Channel,Davidoff cool water etc, Tshs 2000/= Vinafaa, wakati ile perfume yako ya designer imekwisha unasubiri kununua tena, basi kwa 2000/=, unazuga na ki sansiro. Ladies Suits, evening wear dresses, office wear blouses, Shoes, from UK & USA. Children's wear from USA and the Netherlands.
No comments:
Post a Comment