Duka lipo Barabara ya Mwai Kibaki zamani Old Bagamoyo Road, Katikati ya Ofisi za Zantel Makao Makuu, na Shoppers Plaza. Kutokea Morocco Traffic Lights, Kuelekea Mikocheni, duka lipo upande wa kulia, approximately Mita 200 kutoka Ofisi za Zantel Makao Makuu. Mawasiliano: 0658 286 555.
Along Mwai Kibaki Road
Tuesday, March 27, 2012
Watoto, March 2012, New Arrivals.
Singlet zikiwa dukani tayari kwa watoto kujipatia wapendeze kama shosti wao alivyopendeza hapa chini. Shosti akiwa kavalia singlet yake , anaonekana anapenda picha huyo!
Size: Singlet hizi zinapatikana dukani kwa watoto wa umri wa miaka 2,3,4,5, 6 & 7. Nguo Hizi zina ubora wa uhakika, ni nguo kutoka nchi za Scandinavia (Norway, Sweden na Denmark). KUMBUKA! Bei ni za kawaida.
No comments:
Post a Comment