Duka lipo Barabara ya Mwai Kibaki zamani Old Bagamoyo Road, Katikati ya Ofisi za Zantel Makao Makuu, na Shoppers Plaza. Kutokea Morocco Traffic Lights, Kuelekea Mikocheni, duka lipo upande wa kulia, approximately Mita 200 kutoka Ofisi za Zantel Makao Makuu. Mawasiliano: 0658 286 555.
Along Mwai Kibaki Road
Tuesday, March 27, 2012
Watoto, March 2012, New Arrivals.
Gauni Hii aliyovaa mtoto hapo juu inapatikana dukani. Ni nzuri na inapendeza, kama mtoto wa scandinavia ilivyompendeza, hakika na watoto wengine watapendeza. Gauni ikiwa dukani tayari kwa mtoto. Size. Zinapatika kuanzia umri miaka 8,9,10,11,12,13 hadi 14.
Gauni, ikiwa dukani tayari kwa mtoto. Size. Zinapatika kuanzia umri miaka 8,9,10,11,12,13 hadi 14.
No comments:
Post a Comment