Along Mwai Kibaki Road

Saturday, April 14, 2012

Floral Print Summer dress: Size Medium to Large. Kivazi chenye ubora kutoka Uingereza! Kwa bei ya kawaida.



Raha ya Miji Mingi ya Bongo Summer mwaka mzima;

Tulipata angalizo toka 8020 fashions kuwa Floral prints ziko kwenye chati, Haya fashionista floral hiyo kwa ajili yako!


bonyeza older posts chini ya ukurasa huu kulia kuona Vitupio/accessories za ukweli toka ulaya (scandinavia), kwa bei za kawaida.


Genuine Sleek Oil free creme to powder inapatikana Vazi 

Tupo Old Bagamoyo Road, katikati ya ofisi za Zantel na Shoppers plaza, karibu na International Commercial Bank iliyopakana na Shoppers Plaza, wastani wa mita 20 kutokea Benki hadi Vazi.

No comments: