Along Mwai Kibaki Road

Sunday, August 5, 2012

Mavazi ya Watoto Kutoka Sweden na Marekani

Magauni ya watoto: Yanapatikana Umri kuanzia  miezi 12, hadi miaka 13. Yanapatikana kwa print za aina tofauti tofauti. Hizi ni Baadhi.H&M Sweden. Made in India. 100% Cotton.

Suruali za Kadet zinapatikana kwa watoto wa kuanzia miezi 12 hadi miaka 12. Our Collection from H&M Sweden, Made in Bangladesh, 100% Cotton. Value for your Money!

Magauni ya watoto: Yanapatikana Umri kuanzia  miezi 12, hadi miaka 13. Yanapatikana kwa print za aina tofauti tofauti. Hizi ni Baadhi.H&M Sweden. Made in India. 100% Cotton.

Mashati Haya yenye ubora unaokubalika na watu wanaopenda High Quality , yatakuwa dukani siku ya Jumatano tarehe 08/08/2012. Ni masafti kutoka Marekani. Pia tarehe 08/08/2012 kutakuwa na magauni na  Mengine ya Watoto kutoka Marekani.

No comments: