Along Mwai Kibaki Road

Sunday, August 12, 2012

Maybelline Makeup from USA, Sasa Ndani ya Vazi


Pressed Powder ya Maybelline Sasa Inapatikana Vazi.

Unaweza kutumia google Map Kuona Duka Lilipo.

Jinsi ya kutuona tulipo:
1. Bofya: google Map kwenye
2. Andika: Vazi Dar es salaam
3. Bofya alama ya Vazi utakayoiona kwenye ramani na Utakuwa umetuona tulipo
Hii Pure -Stay Powder foundation, ukipaka asubuhi Wang'ara mpaka utakapotaka kuitoa wewe mwenyewe.

 Brusher za Maybelline rangi mbalimbali utapata vazi
Hivi ndivyo Rangi Ya Revlon ikipakwa inavyoonekana.

pia tuna rangi aina mbalimbali za kukauka 60 seconds.

No comments: