Shosti akiwa kavalia singlet yake , anaonekana anapenda picha huyo!Size: Singlet hizi zinapatikana dukani kwa watoto wa umri wa miaka 2,3,4,5, 6 & 7. Nguo Hizi zina ubora wa uhakika, ni nguo kutoka nchi za Scandinavia (Norway, Sweden na Denmark). KUMBUKA! Bei ni za kawaida.

No comments:
Post a Comment