Along Mwai Kibaki Road

Sunday, June 24, 2012

Boxer Mahsusi kwa: Mazoezi! Michezo ya Kila aina Zinapatikana dukani Vazi.


Boxer Hizi zimetoka USA. Zinadumu kwa muda mrefu.Unaweza kuzi "google" kufahamu zaidi ubora  na matumizi yake. ukibofya "compression shorts" utazipata.

Ni Mpya pamoja na lebo zake. Hapa chini ni  maelezo kutoka kwa watengenezaji na wasambazaji wa Boxer Hizi.
MWANZO
"CHAMPRO
SPORTS EQUIPMENT
THE QUALITY ADVANTAGE
TEAM APPAREL
PERFOMANCE
COMFORT
DURABILITY
Made in Ethiopia by Champro Sports Equipment Division of Wilson Hunt International Ltd. USA.
FABRIC MADE OF COOL PLUS FIBER
An innovated Cooling Technology.

From Walking the dog to the most strenuous exercise.
 COOL PLUS FIBER, a fiber of unique cross section and fabric construction presents with an unequaled feel of cool, dry and comfort. You could enjoy it no matter when playing sports or at leisure. And the fabric does not stick to the skin. It is easy care".
MWISHO WA KUNUKUU

No comments: