Along Mwai Kibaki Road

Monday, October 26, 2009

Magauni ya Pinki na Blue yanapatikana kwa watoto miezi 6 -18. Gauni maua black na white yanapatikana kuanzia mwaka 1 - 2. Bei kuanzia 13,000 -16,000.



2 comments:

Ald said...

Ongeza picha za nguo za wakubwa,viatu n.k. na bei zake, yaelekea ni 'za ukweli'.

Vazi said...

Hi Ald,
Ni kweli kabisa ni za ukweli,
kila mwisho wa page chini click older post utapata picha zaidi za wakubwa bei zetu kwa nguo za wakubwa ni 18,000 hadi 60 hatuzidi zaidi ya hapo.na viatu ni hivyo hivyo,
karibu sana dukani ujionee mwenee