Along Mwai Kibaki Road

Monday, October 26, 2009

BIDHAA ZINAZOPATIKANA Vazi


Vazi ni wauzaji wa Mavazi ya Watoto na Wanawake. Kwa sasa, tuna vitu vyenye ubora kutoka Ulaya, Marekani na Afrika ya kusini.

Chini ni orodha ya vitu hivyo.
1. Nguo za Watoto, 0-1year, 1-12years.
2. Tops simple na blauzi .
3. Skirt za wasichana na za kina mama, ndefu na fupi hadi magotini.
4. Magauni ya wasichana. Fupi kama ambazo anapenda kuvaa mwanamuziki Rihanna. (fuatilia picha utaziona).
5. Jump suit.
6.Simple Sando.
7.Viatu.
8.Magauni casual wear.
9. Mikanda na Nakshi nakshi, kama vile hereni , bangili nk.Kwa wafuatiliaji wa fashion kuna heleni za tausi.
10. Pochi ndogo za wasichana.
11. Na vitu vingine vingi. Si vyote vinaonekana kwenye blog.

Kuona zaidi , karibu dukani. Mwananyamala komakoma, opposite biashara Complex.

LAY BYE ACCEPTED (TUNAKUBALI KUWEKESHA) kwa kipindi cha wiki 4. Masharti ni ya kawaida utapata maelekezo zaidi utakapohitaji huduma hii.

Asante,


David.
Vazi, Team Member.

No comments: