Along Mwai Kibaki Road

Sunday, October 10, 2010

New arrivals, Suti, magauni ya ofisini, Magauni ya jioni, Viatu, Skinny jeans, Belts, Cheni, Bangles, Earrings nk, toka UK na USA Karibuni.

Vazi. kwa mavazi ya wanawake na watoto
Vazi ni wauzaji wa mavazi ya Wanawake na watoto.

Lengo ni kuwapatia wateja.
1. Mavazi yenye ubora wa uhakika.
2. Mavazi yanayokwenda na wakati.
3. Mavazi kwa bei nafuu .

Mavazi yanayopatikana vazi ni Suti za kike, Magauni ya jioni, Viatu virefu na vifupi, flat sandals, sketi, mashati, blouse, baby body suit na underwear za watoto. Accessories aina zote nk.

Vazi. Tunazingatia ubora wa mavazi.

No comments: