Along Mwai Kibaki Road

Monday, October 11, 2010

Price Range: 3000 T0 199,000/=

 Unaweza kupata kuo kuanzia Tsh 3000 (Underwear za watoto wadogo kutoka maduka ya Uholanzi) hadi Tshs 199,OOO/=


3 comments:

Anonymous said...

Ok thanks when Iam in Dar i will definitely visit your shop. Thanks for the immediate response

Anonymous said...

nguo gani ya elfu 3 km sio mchina? ndege mnapindisha bure huo mzigo mbona mmeniogopesha?

Vazi said...

Hi Anony Aug 2012:5:22.
Tafadhali Usiogope bei ya Sh 3000/= Ni Kweli tunauza underwear za watoto wadogo dukani Vazi kwa Sh 3000/=
Underwear Hizo ni 100% cotton. Tumezileta Tanzania kutoka The Netherlands.

Unauliza Ndege tunapandisha bure. Hapana. Tunalipa. Sasa pia Jiulize mitaani kuna underwear za watoto wadogo kwa 250 hadi mia tano, Na Zimetoka nje ya nchi, kama vile China na kwingineko. Sasa unataka kuniambia hizo za 500 zinapandishwa kwenye ndege bure.

Mwisho. Tunafanya biashara na Watanzania ambao Wanajua Quality kuliko unavyoweza kufikiria, Mtanzania akishika texture ya underwear zetu za watoto, na akiangalia label ankuta kwanza imeandikwa Kidutch. Anajua tu Hii Nguo imetoka Majuu. Akimvalisha mwanae, anafuam, Haipauki, anarudi tena. Na sisi kama Vazi. "Customer Satsfaction" Ndio Nguzo ya Biashara yetu.

Karibu dukani Ushike texture, Usome label. Kufika dukani. Angalia ramani kwenye google Map type. Vazi+dar es salaam. Google itakuelekeza.