Along Mwai Kibaki Road

Tuesday, October 12, 2010

Kiatu No 8 (41)

6 comments:

Anonymous said...

nimependa sana vitu vyenu hv viatu na pochi vipo? je mna size kubwa ya magauni ya aina yote

Vazi said...

Ahsante sana, viatu hivi vipo dukani vimebaki no 8. Magauni ya mikanda yenye juu purple white na silver yapo size kubwa 14 - 18. Gauni alizovaa model anayeonekana katika picha ya kwanza toka juu (suti ya cream ni size 12 Magauni aliyovaa model anayeonekan kuanzia picha ya 4 kutoka juu ni size 14, na 18.

Anonymous said...

asante mamie ntakuja weekend asante sana

Vazi said...

Karibu sana dear.

Anonymous said...

hi dear mnaleta wallet?

Vazi said...

Hi dear, wallet kwa sasa hatuna.