Along Mwai Kibaki Road

Sunday, August 12, 2012

SASA waweza kutuma Ujumbe! Salaam kupitia Mugs






Mug kutoka Marekani, Zilizotengenezwa Korea, Malaysia nk. na Zimetengenezwa kwa Standard ya Wamarekani Wenyewe. Zinapatikana Dukani Vazi

Zina Ujumbe Mbalimbali wa Kuwapelekea Watu Uwapendao kama Vile Wazazi nk.

Pia, Kwa Wajasiriamali Wenzetu Watakaopenda Kununua Mug Hizi Na Wao Wakauze, pia inawezekana. Kama Unapenda Kufanya Hivyo Tuwasiliane.



  • Hutahitaji Kuwa na Box La Zawadi Kwani Mug Hizi tayari Zitakuwa Zimepakiwa Kwenye Box lake.
  • Hutahitaji Kununua Kadi Kwani Box Kwa Juu limeandikwa Maneno Haya hapa Chini:-
  • To:.................................................
  • From.............................................





No comments: