Along Mwai Kibaki Road

Monday, August 13, 2012

Sasa Waweza kutumia Google Map Kufika Dukani Vazi.

( i) Bofya:  Maps.google.com
  Itatokea toolbar ya Google
(ii) Ndani ya toolbar ya Google andika maneno haya: Vazi   dar es salaam

(iii) Ndani ya ramani itatokea alama  A  ikionesha Vazi.

iv) Click kwenye neno "More" kwenye  toolbar A inayoonesha Vazi ndani ya ramani, Halafu click tena tena "Zoom Here",  kuona exact location Vazi tulipo.



Tunakushukuru  kwa kutumia muda wako kupitia blog ya Vazi. Karibu Sana.

No comments: